Mlenge
R I P
- Oct 31, 2006
- 2,125
- 2,305
Kila mara "Mila Potofu" hutajwa kwamba ni kikwazo cha maendeleo. Binafsi hupata taabu kuelewa hizo mila potofu.
Tuziorodheshe hapa.
NOTE TO EDITORS: I appreciate the powers editors have to alter content. But they should put a note to show the changes they have put to a post. Msitulishe maneno. Acheni vilevile tulivyoposti.
- Mila potofu ni zipi?
- Ziliwekwa kwa makusudi gani,
- Na nani aliyeziweka,
- Kisha ni nani mwenye mamlaka ya kuamua mila hii ni potofu na ile ni sahihi.
- Mila potofu ni zipi?
- Nini zinafanya ziwe potofu?
- Na nini mbadala wake?