Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Huwo ndiyo ukweli, hakuna Chama Kikuu cha Upinzani hapa Afrika kilichokuwa dhaifu na powerless kama chadema, hawa jamaa hawawezi kushinikiza chochote kile, siyo Bungeni wala Mtaani, hawawezi kuilamizisha Serikali yetu ifanye chochote kile, lkn cha ajabu tunaambiwa wamepta kura milioni 6, sasa ziko wapi? Hao waliowapigia kura wako wapi?
Nashauri chadema ivunjwe!
Nashauri chadema ivunjwe!