Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,423
- 289,624
Unaweza kuona kama ni swali uchwara , lakini si hivyo .
Uchunguzi wangu umebaini kwamba , hiyo vocha unayonunua kwa Tsh 1000 , aliyekuuzia aweza kuwa alinunua vocha hiyo hiyo kutoka kwa supplier kwa Tsh 950 , hatujui supplier yeye aliuziwa bei gani .
Ndio maana naomba kujulishwa thamani halisi ya vocha hizi , ikiambatana na UHALALI wa Thamani hiyo .
Naomba kuwasilisha .