malikafif84
Member
- Feb 6, 2013
- 39
- 31
Wakazi wa Ilala Amana tumepatwa na Msiba wa Mke wa muuza chips maarufu kwa jina la Barafaa, Msiba upo nyumbani kwake Mtaa wa Moshi na Mwanza nyumba ambayo anafanyia biashara yake ya chips.
Msiba upo Ilala Mtaa wa Moshi na Mwanza, hii ni mitaa iliyopo Ilala imepakana kwa ukaribu.R.I.P
Sijaelewa msiba upo moshi,mwanza au ilala?