Tanzania Nchi Yetu Sote
JF-Expert Member
- Mar 12, 2017
- 505
- 871
Mheshimiwa Spika naona CHADEMA wamefikia pabaya wanaikashifu serikali sikivu ya CCM.
Chama kimefanya mengi sana, maendeleo makubwa tumeyapata, shule za Msingi, sekondari na Vyuo viko vingi leo, barabara za lami, Umeme nchi nzima mpaka kijijini kwetu, lakini CHADEMA wanakebehi, Naipongeza sana serikali ya Chama cha Mapinduzi.
Mheshimiwa spika sasa naomba nieleze matatizo ya jimbo langu, Jimboni kwangu hakuna shule za sekondari katika kata sita, Maji ni ndoto, tunategemea mvua. Shule zilizopo hazina ubora na kuna tatizo kubwa la upungufu wa Walimu, rais alikuja sasa ni mwaka wa 2 Mh. Magu alituahidi umeme lakini mpaka leo hakuna lolote. Barabara ni mbovu hazipitiki.
Mheshimiwa spika ni lini SERIKALI HII YA CCM ITATUSIKIA NA KUTULETEA MAENDELEO??
UNAELEWA NINI HAPO??