Kama hutaweza kujenga mwaka huu, hutaweza kujenga maisha yako yote hapa nchini

Eddy Love

JF-Expert Member
Jul 25, 2011
13,654
8,553
Kwa maisha yanavyokwenda hali ya maisha ya Tanzania imebadilika ambapo kwasasa mfuko wa Cementi Kg 50 bei yake ni elfu 11,500 wakati bei ya kiroba cha unga KG 50 kwa sasa ni Elfu 96,000 hii inaonyesha ni Jinsi gani kujenga ni rahisi kuliko kula tofauti na miaka iliyopita.
 
Kwa Maisha Yanavyokwenda Hali Ya Maisha Ya Tanzania Imebadilika Ambapo Kwasasa Mfuko Wa Cementi Kg 25 Bei Yake Ni Elfu 11,500 Wakati Bei Ya Kiroba Cha Unga Kwasasa Ni Elfu 48,000 Hii Inaonyesha Ni Jinsi Gani Kujenga Ni Rahisi Kuliko Kula Tofauti Na Miaka Iliyopita
Ujazo wa Cement kwa hiyo bei uliyoweka ni 50kg
 
Kwa Maisha Yanavyokwenda Hali Ya Maisha Ya Tanzania Imebadilika Ambapo Kwasasa Mfuko Wa Cementi Kg 25 Bei Yake Ni Elfu 11,500 Wakati Bei Ya Kiroba Cha Unga Kwasasa Ni Elfu 48,000 Hii Inaonyesha Ni Jinsi Gani Kujenga Ni Rahisi Kuliko Kula Tofauti Na Miaka Iliyopita

Kwa hiyo kwa mahesabu yako nyumba hadi ikamilike ni Cement tu ndio inayohitajika?
 
Mkuu pole kwa kusombwa na vyeti feki.


Miaka yote upo kwenye ajira hukujenga sasa unaleta hoja humu ili upate msaada usiwe hivyo bhana.
 
Kwa Maisha Yanavyokwenda Hali Ya Maisha Ya Tanzania Imebadilika Ambapo Kwasasa Mfuko Wa Cementi Kg 50 Bei Yake Ni Elfu 11,500 Wakati Bei Ya Kiroba Cha Unga KG 50 Kwasasa Ni Elfu 96,000 Hii Inaonyesha Ni Jinsi Gani Kujenga Ni Rahisi Kuliko Kula Tofauti Na Miaka Iliyopita
Dah mzee mbona umekuwa mvivu kufikir hadi umekuja na conclusion nyepesi hvyo... Kwan kujenga kuna husisha cement peke yake? Na kula ni lazima ule ugali tu ndio maisha yaende?? Umefikiria kuhusu other costs za ujenzi hadi hyo nyumba kukamilika?? Na je una mzungumzia mtu mwenye kipato gani juu ya hyo mada yako kwa hyo comparison uliyo toa....?? Acha uvivu Think hard
 
Back
Top Bottom