Katika mgao wa TZS 3.1 Billion ambazo airtel wamegawa leo mim pamoja na kuwa mteja maarufu wa airtel mwenye miamala ya maana airtel money nimeambula shs 461 tu bila senti.
Airtel, acheni kutuchezea kisaikolojia ukizingatia kwamba gawio lenu ndio tegemeo la kuokoa jahazi kwa sasa baada ya kamshara kuzidiwa!