Haya ya Bashite yanaumiza sana mioyo ya watanzania, double standard

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
Sasa jamani huyu mtu hata Bungeni yaliwahi kuulizwa maswali kuhusu utajiri wake ilihali mshahara wenyewe ni kama 4.8 million na kazi yenyewe haina hata miaka 3
Baadaye tukaonyeshwa documents za magari yale ya kifahaari kama v8 na bmw 6 aliyochukua kutoka kwa the very same people aliowatuhumu kuuza madawa ya kulevya na inasemekana police walilala siku moja tu yaani jumamosi wakatoka.
Kuhusu ford ranger akiwa mkuu wa wilaya,wasanii walimuuliza kalitoa wapi akasema ni zawadi
Jumba analoishi masaki sitashangaa kama litakuwa la kwake na hata kama kapanga nina hakika bei yake kwa mwezi inazidi mshahara wake wa mwezi
Ma documents hayo ya magari yalisababisha hata TRA kubadili mfumo wao online,ina maana kuna kitu kinafichwa
Hao anao hang nao walishatuhumiwa sana mambo ya ajabu nchi hii ila leo ndo malaika,tobaaa
sasa imekuja hiii tena ya MANSION analoporomosha huko Mwanza na hii ni baada ya wadau kufanikiwa kuona simu ya engineer wake Mphillipines ambaye siku zote hujisifu hadharani kwamba anamfanyia kazi huyu bwana
cheki pics mwenyewe be the judge maana insikitisha aisee, hata ma catalogue anayochagua huyu ndugu ni ya bei ghali kweli
na kuna hako ka bill kadoooogo tu cha million 54 cha ununuzi wa furnitures
Mtu kama huyu kweli everyday anadhihaki watu na wengine juzi alisema angewachapa viboko kwa kubeba mabango yanayodai maslahi bora???
Mioyo ya watu inasikitika sana na hizi double standard za ajabu huku watu wakijificha kwenye kichaka cha kutetea wanyonge
Na pia huko Arusha kuna tetesi yule kijana wa kule kavuta VX 8 ,no wonder wazee kama kina Agrrey Mwanri kule Tabora wanalia
kuhusu kutumia magari machakavu ya ofisi ya mkuu wa Mkoa ila vijana ambao kazi yao ni kuleta mavurugu kila siku wanapush madude kama
ys spika ndugai
Mungu wangu.....
1.JPG
 
Kuwa na vyote hivyo si tatizo kama tu hakuna palipopungua na hakuna aliyelalamika kwa court kwamba kaombwa rushwa wala kuporwa, wala hamjamkamata kwa biashara yeyote haramu., TZ mbn sio nchi ya kijamaa tena kuulizana umetoa wapi vyote hivyo...!!!
 
Kuwa na vyote hivyo si tatizo kama tu hakuna palipopungua na hakuna aliyelalamika kwa court kwamba kaombwa rushwa wala kuporwa, wala hamjamkamata kwa biashara yeyote haramu., TZ mbn sio nchi ya kijamaa tena kuulizana umetoa wapi vyote hivyo...!!!
Hilo nalo ni neno. Ufukunyuku huu ulianza pale msingi wa vita vikuu vya madawa ya kulevya ulipokamilika kujengwa. Chochote utakachoandika, chochote utakachoongea hakiwezi kufanyiwa kazi kwa sababu inaonekana ni "fihi" ama njia ya kujaribu kuufukia ama kuubomoa msingi aliouchimba na kuujenga kwa mkono wake.
Aina yoyote ya kelele inayopigwa sasa, ingelikuwa na thamani na ingeweza kufanyiwa kazi kama ingeliletwa mezani "kabla ya".
Lakini kwa hivi sasa inaonekana ni majungu f'lani.
Afadhali kunyamaza na kufuata mambo mengine.
 
Mi kuona mtu tajiri anaporomosha mansion nafurahi maana anapunguza masikini nchini. Ila kwa kesi ya Bashite kuona mtu kilaza mwenye tabia ya kidikteta anashika cheo cha juu hivyo na nyuma yake ana support kubwa sana ya pombe siwezi kufurahi hata kidogo. Double standards mbaya sana, bado hatujafika hatua ya kusimamia sheria maana kiukweli jamaa alitakiwa awe jela sasa hivi.
 
Back
Top Bottom