Nani aliwahi kuwa RPC wa DSM akatoka vizuri?

Kwa mnaotunza kumbukumbu, tusaidie kidogo:

Nani aliwahi kuwa RPC wa DSM akatoka vizuri? Turudi hata kabla ya kuwa Kanda maalum ya DSM.
Profile inaonyesha: Ukiwa RPC DSM, usipotumiwa na majambazi, utatumiwa na wanasiasa.
Gewe
 
Haiwezekani

Ni Sawa na kuuliza Mchezaji gani wa Ligi kuu kishawahi kucheka Mpira Dakika 90 kwny Mechi akatoka bila ya Jasho!
 
Mzee Gewe alikuwa ni kiongozi mzuri kwa askari wake japo alikuwa ni mwepesi wa kupiga vibao askari wake wanapopatikana na makosa hasa rushwa(zamoto au mkaa)
 
Mwindad Ali na Afred Gewe tawala zao hazikupata tuhuma za kusaidiana na majambazi, matapeli wala wakwepa kodi. wapumzike kwa amani
 
Back
Top Bottom