Tuwaseme
JF-Expert Member
- Oct 8, 2014
- 645
- 1,191
Kwenye Barua ya Kutenguliwa Uwaziri kwa aliyekuwa Waziri wa Habari. Mh Nape hakuna sababu ya kutenguliwa kwake iliyoelezwa. Kilichoelezwa ni kuwa Mh. Rais ameamua kufanya mabadiliko madogo ya Baraza la Mawaziri, na kuamua kumpumzisha Mh. Nape. Hiyo ni haki ya Kikatiba ya Rais.
Japo Tulio wengi tulihusisha kutengeliwa kwake kulitokana na Kamati aliyounda kuchunguza uvamizi wa 'Clouds Media'.
Nadhani Rais aliamua kufanya hivyo ili kupunguza Kelele kutoka kwenye kila pembe ya dunia. Lakini kitendo cha RC Makonda kusema hadharani kuwa Mh. Nape alivunja utaratibu wa kuunda Kamati yake.
Na kuongeza kuwa, kwa nafasi yake kama RC hakupaswa kuundiwa Tume na Waziri kwa sababu nafasi zao za kiutendaji ni sawa sababu wote ni wateule wa Mh. Rais. Nadhani sio Busara kusema hivyo hadharani. Inatupa Picha halisi ya nn kinaendelea miongoni mwa wateule wa Rais.
Asanteni