ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Msijione kwamba mnapendwa pamoja na kwamba social media na nchi nzima ipo upande kwenye hili sakata lenu na Bashite. Ukweli ni kwamba jamaa anachukiwa sana that's why watu wana sympathise na nyie ingawa hawajasahau mlivyokuwa na dharau kwa public outcry kuhusu vyeti vyake na forgery.
Kibonde alidhihaki kwamba vyeti sio issue yule mwingine wa clouds 36 sijui ndo Sassali alitoa kali zaidi pale bwana bashite aliporudi toka South Africa maana alisema "mmeongea sana haya sasa mwanaume karudi'.
Kudadeki few days later mwanaume akawadhalilisha ofisini kwenu mmebaki kulia muombwe radhi na hataki. Punguzeni kujipendekeza ila tumeona kwamba mmejifunza in a hard way Swali kubwa mtaani?
Ni kweli mlishirikiana na bashite kutaka kumshikisha adabu mmiliki wa radio pinzani katika lile suala la madawa au kuna masiri mengi mnajuana na jamaa ndo maana anawaita matapeli na kwamba hata kesi yenyewe hamjafungua polisi.