kama alichora bure kwa kipindi kile inapaswa aangaliwe kwa kazi yake kama alilipwa kwa wakati ule sio kosa la serikali bali ni kosa lake, maana alifanya kazi kama ambavyo angefanyan zingine. don't judge too quickly
Kwa maelezo yake alilipwa na alikuwa anaendelea na shughuli za uchoraji kama kawaida,hapo sioni kosa La serikali labda asaidiwe kama wanavyosaidiwa watu wengiNe wenye matatizo.
Naona kama vile ni laana ya umaskini. Huwa natafakari hata sisi tulioko humu JF (Si wote) tunawasahau wazazi waliojinyima wakatusomesha tukishakutana na wake zetu wa kisasa tunasahau tulikotoka ila ni wepesi wa kuhonga michepuko.
Kosa sio la serikali bali familia yake na jamii kwa ujumla,huwezi jua alilipwa pesa nzuri akaitumia kusomeshea watoto wake na kulea familia bila kusahau kutoa misaada kwa majirani. Matokeo yake uzeeni wamemsahau
Na yule Ngoma mvumbuzi wa Tanzanite anaishi maisha duni kazi yake ni kulaumu tu.
Ila ukiingia ndani utakuta kwamba hawa watu walilipwa na kupewa heshima kwa nyakati zao ila walishindwa kuwekeza kupitia majina yao.
Yule mzee ni alama.ya imasikini wetu haiwezekani asahaulilemkiasi hicho Nadhsni sasa tumemaliza kipindi cha umaskini kwakua mgunduzi wa nenmbo ya taifa amepatikana Tena Ni NGOSHA
Ss mnataka asaidiwaje, wakati yy ameshindwa tumia fursa aliyopata kujitangaza na kuendelesha maisha yake. Maana hata kama akijengewa nyumba still hatakuwa na maisha mazuri kama angeitumia fursa aliyoipata vzr.
Yaani angekuwa mjanja angekuwa na nembo (logo) nyingine za maana 100 na angekuwa amepokea millions of Tsh na fursa kemkem
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.