Ajira za dharura 15 elfu zimepotelea wapi?

Mzee Chapuuka

Member
Apr 21, 2017
97
243
Salaam wana JF,

Siku kadhaa nyuma niliona taarifa kwamba serikali ipo mbioni kutangaza ajira 15 elfu za dharura ili kujaza upungufu wa watumishi waliotumbuliwa kwa vyeti feki cha ajabu hadi sasa hakuna taarifa nyingine au zile zilikua sound tu za serikali kama kawaida yao.

Tujuzane!

NB: Sisubiri ajira hizi nimeuliza tu sitaki mapovu hapa.
 
Watalipwa nini? Hivi bado mnaamini kuwa hali ya kiuchumi ni nzuri kama anavyojitapa? Hii watumishi hewa ilikuwa kuleta ahueni tu kwenye malipo. Hatulioni tatizo kwa sababu waliopaswa kutuonesha wamekatazwa 'siasa' wakitake na advantage ya ujinga wa wana wa nchi inaibuka imani kuwa nchi 'inanyooshwa'.
 
Dah,sekta ya afya ndo shida zaidi..zahanati zinafungwa kwa kukosa wahudumu huko vijijini.

Zingine mhudumu ni mmoja mpaka inashindikana likizo aendeje..
 
Hii serikali hii haijielewi kabisaaa. Sijui mheshimiwa Magu anatupeleka wapi. Nimegraduate kipindi kibaya sana.
 
Sekta ya elm ndo balaa shule mpaka znafka hatua ya kufungwa kxa hazna walm na wkt muda huo walm wapo mtaan wamesubr ajra dah! Kweli hapa n BBM
 
Back
Top Bottom