DOnoa
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 397
- 215
Veta ni taasisi ya serikali na ni miongoni mwa taasisi zilizojisimamia kataka uhakiki wa vyeti bila uwepo wa wawaklsh wa baraza la mitihani.
Cha kushangaza majina ya waliogushi yalipotoka watumishi wa veta hawakuwepo wakati veta inawatumishi wengi sana waliogushi vyeti, naomba serikali wawaulze pale makao makuu ya veta baada ya kuhakiki data hzo walpaswa peleka baraza la mitihani kwa uhakiki je walfanya hivyo?
Tetesi zilizopo ni kwamba veta makao makuu walipokusanya data kutoka kila veta nchini walipaswa kuzipeleka baraza kwa uhakiki lakini walchokfanya waliziminya zile data na ukitazama orodha ya waliogushi vyeti ilyotolewa sehemu kubwa ni watumishi wa tamisemi na RAS lakini mashirika ya umma mengi hakuna,mfano veta na wakati wapo wengi sana waliogushi.
Naombeni watanzania wenzangu tuungane kwa hili il tuondoe double standard.