Ni kwanini karibia Wageni waalikwa wengi wakiwa IKULU kuhudhuria hafla fulani muda mwingi tu wanakuwa wamenuna, sura zao zimejaa uwoga na hata upigaji wao wa makofi katika jambo fulani huwa ni...
Hivi kweli mmekoswa cha kuonesha mpaka mtuoneshe mazingaombwe au ni kutuaminisha kuwa majeshi yetu ni uchawi tu
Inaumiza saana kiasi furan kuona kodi za wananchi zinatumika kiivyo
Serikali ya Zanzibar SMZ imesema itaendeleza ushirikiano uliopo kati yake na mabalozi wa Tanzania waliopo nchi za kiarabu ili kuona wafanyakazi kutoka Zanzibar walioko huko wanafanya kazi katika...
Jeshi la polisi mkoani hapa linamshikilia, mkazi wa kijiji cha Mamvisi Gairo kwa tuhuma za kumuua mke wake kwa kumpiga ngumi na mateke sehemu mbalimbali za mwili na kusababisha kifo chake...
Wakuu salama!
Ishu hii imekuwa ikinikera sana kwani si ya kiungwana hata kidogo.
Sisi watanzania tulio wengi tunatoka kwenye familia masikini , na ndio maana tunapofika vyuo vikuu tunaomba...
Habar za saiz wana jf?
Kwanza poleni na majukumu ya kazi.
Naomba niende moja kwa moja kwenye ombi langu
Nahitaji msaada wa haraka ili kuokoa maisha ya baba yangu mzazi ambaye anaishi Mbeya...
kwakweli mimi naona giza tu... Mkulu tazama pande zote.... Sisi wengine tumekosa nini.. Kweli hii miaka mitano mafisadi watakoma...ila na sisi wenye kipatapo cha chini cha moto tutakipata.
Mkulu...
Kila nikifikiria ile ripoti ya Makontena ya Mchanga iliyowasilishwa juzi hata matangazo yao siyaelewi!! Hili ni moja ya tangazo linalovuma kwenye baadhi ya vyombo vya habari likieleza kwamba nchi...
kitilam
May 24
Mwl Nyerere alituongoza kudai uhuru wa
kisiasa. Rais @MagufuliJP ameanzisha
mapambano ya kudai uhuru wa kiuchumi.
Tuwe naye bega kwa bega
View details ·
Haya ndo maneno ya Kitila...
Naomba nitangulie kusema kwamba nina ruhusa ya mhusika kuiweka hii PM hapa kwa faida ya wengi... Na tumekubaliana niandike yale ambayo hayata vujisha mawasiliano yetu kwa ujumla wake.
PM hii...
The First Moon of the lunar month (Mwezi Mwandamo) can be expected to be observed today, though it can be challenging.
The first picture shows where a very thin crescent Moon can be expected to...
Kama ilivyo taarifa ya Tume ya uchunguzi wa mambo ya madini ya miaka iliyopita ambayo ukigoogle utapata angalau muhutasari wenye kurasa kama 30 hivi.
Napenda kujua hii tunaipata wapi ili kama...
Kwa utafiti huu serikali haina haja ya kufumba macho.
Wakuu salama.
Katika gazeti la Mwananchi tar 26-may-2017 ukurasa wa pili, kuna habari isemayo: HIKI NDICHO KIINI CHA MAUAJI PWANI. katika...
Wanajf natumai hamjambo!
Kila ukipita kwenye mitandao ya kijamii mbalimbali utakutana na porojo na ushabiki mbalimbali unaohusiana na mchanga wa dhahabu.
Mbaya zaidi kuna watu wanashabikia na...
'Mom, I always told you I'd come back and get my degree.' By Mark Elliot Zuckerberg
TGIF- Karen (Kempner),ni daktari wa wagonjwa wenye matatizo ya akili [Psychiatrist] na ni mama yake na Mark...
Wakuu habar zenu
Kuna ukweli wowote kuhusu ili,
umri Wa mtu unaweza kukadiliwa kutokana na jinsi anavyo ongea au kuandika.
Hata kama uyo mtu humfahamu au hujawai kumuona.
Ajitokeze member...
Hivi katika sheria za barabarani hakuna kibao kinachoonyesha hapa ni makaxi ya watu, maana hii kauli imekuwa kero kwa madereva, mtu barabara hata hujawahi kupita, trafic wanajificha mahali, hakuna...
Wafanyakazi hawa wamekuwa miungu watu,maana hata safari zilizolipiwa kila kitu na wafadhili bado wanasumbua sana.
kibali kinatoka mpaka saa chache kabla ya safari wakati wanadai ufanye...
Inakuwaje jamani mtu mnamzungusha kumpa loss report mnataka mpewe rushwa ya elf 5 wakati gharama ni sh 500? Hamuombi ila mnamzungusha hata masaa 4 mpka ajiongeze atoe kidogo na akitoa tu dkk 5...
Kiwango cha mfumuko wa bei nchini kimepanda kwa wastani wa 1.4 kutoka asilimia 5 ilivyokuwa mwezi Februari hadi asilimia 6.4 kwa mujibu wa taarifa kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu nchini (NBS)...