Makau Js
Member
- May 25, 2017
- 93
- 233
Top quality -Bonta Concious ,Bonta Maarifa ni msomi wa Degree ya Health Sciences,kisha akasomea , Master of Orthoptics ni msanii msomi mwenye utatu mtakatifu 1.Nidhamu kwa jamii yake 2.Tungo bora zenye uhai wa milele 3.Role model kwa vijana.
Tanzania kuna wasanii wengi wanaoimba Bongo Hip Hop, ila wasanii wenye uwezo wa kuandika kwa ufundi na utunzi wa mistari yenye tija kwa vizazi vya sasa na vijavyo ,ni wasanii wachache sana wenye karama hii,Bonta Maarifa ni miongoni mwa GhostWriiter wa BongoHipHop.
Wimbo wa Bonta Maarifa ft Baraka The Prince unaoitwa ''Zero'' ni wimbo bora na wenye ujumbe maridhawa , unaendana na mustakabali wa mfumo wetu mbovu wa elimu na kugusa eneo zima la uongozi mbovu wa elimu na wizara yake yote.
Bonta Maarifa anaimba,
''Tokemeza Zero'
Elimu mbovu ndio imeharibu kitaa changu mimi
Elimu mbovu ndio imeharibu future za wanangu mimi
Division four haizai one
Division four inazaa four na mjukuu atakua Zero.
Tanzania tuna tatizo kubwa la ubunifu ,katika nyanja zote,huwa nashangaa sana kuona hakuna chuo kikuu chochote kile Tanzania ambacho kimemzawadia Fid Q Honorary Doctorate ,kwa ubora wake na utashi wake juu uandishi wake na hazina ya fikra yake kwa jamii yetu.
Wimbo wa ''Zero'' wa Bonta ni wimbo bora ambao nilitaraji kuona viongozi wakiupa kipaumbele sana ,na kumpa tuzo ya Heshima Bonta Maarifa kwa kuweza wasilisha tatizo la taaluma kwa njia ya Music .BASATA wanatakiwa kuutendea haki wimbo huu ,HAKI ELIMU wanatakiwa kuutendea haki wimbo huu.
Mtu mwingine hunyamaza kwani hana la kusema ;na mwingine hunyamaza kwani anajua wakati wa kuongea ,basi nampa dedication wimbo wa ''Zero ''Raisi wetu ,John Pombe Joseph Magufuli ausikilize na atoe neno juu ya Utenzi wa tungo ya wimbo huu .When you are happy, you enjoy the music. But, when you are sad you understand the lyrics.[HASHTAG]#BontaConcious[/HASHTAG]