Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,042
- 10,787
Mahakama Kuu Kanda ya Bukoba imewahukumu watu watano adhabu ya kunyongwa mpaka kufa kutoka wilaya ya Karagwe baada ya kupatikana na hatia ya kuua katika matukio mawili yaliyotokea mwaka 2013 na 2015.
Jaji akisoma hukumu amesema kwamba tokea Yesu asurubiwe na kuuawa msalabani, basi tukio la watuhumiwa watatu kumfunga raia mikono na miguu na kumning'iniza mpaka kufa ni tukio baya la pili.
Jaji akisoma hukumu amesema kwamba tokea Yesu asurubiwe na kuuawa msalabani, basi tukio la watuhumiwa watatu kumfunga raia mikono na miguu na kumning'iniza mpaka kufa ni tukio baya la pili.