Weka jumla ya gharama kwa siku kwa mtanzaniaConcession Fee ya Serengeti toka $35 to $50.
Tayari kulikuwa na malalamiko fee ni kubwa na inapunguza watalii, hapo public campsites imefanywa $40.
Mtanzania mwenzangu mbuga tutaendelea kuziona kwenye runinga tu.
Kwa usieijua hili tozo, ni kwamba hii ni nje ya park entrance fee ambayo ni $70 kwa non east african na elfu 11,800 kwa east africans.
Sasa kama unaingia mbugani na unalala huko basi unatakiwa lipa hii fee kwa kila siku uwapo mbugani. Hii haijalishi wewe ni mtanzania au non citizen.
Gharama za TANAPA kama unaingia mbugani bila kulala itakuwa 11,800tsh, ila kama unaingia na kulala hotel itakuwa around 120,000tsh depending on exchange rates.Weka jumla ya gharama kwa siku kwa mtanzania
Binafsi nimeona kama Hifadhi ya mlima Kilimanjaro itapungua kwa kambi kutoka $50 na kuwa $35 hivi kama sikosei, inamaana ada za viingilio vitabakia kuwa vile vile ? Mwenye ufahamu zaidi atudaidie.
Hizo fees zinahusu tourists as individuals au operators/ camp owners?Point of correction, hizi ni concession fees paid by all permanent camps and lodges within the jurisdiction of Tanzania National Parks Authority (TANAPA) commencing on the 1st July 2017. So for Kilimanjaro National Park the $50 fees is for permanent huts along the Marangu route.
Ila in reality jamani wanafanya utalii wa Tanzania kuwa mgumu sana, kila mwaka Park fees and concession fees zinabadilika. Mind you these rates do not include the 18% VAT, hapo ukiongezea na hiyo ndo kabisaa tunaliua soko la utalii
Point of correction, hizi ni concession fees paid by all permanent camps and lodges within the jurisdiction of Tanzania National Parks Authority (TANAPA) commencing on the 1st July 2017. So for Kilimanjaro National Park the $50 fees is for permanent huts along the Marangu route.
Ila in reality jamani wanafanya utalii wa Tanzania kuwa mgumu sana, kila mwaka Park fees and concession fees zinabadilika. Mind you these rates do not include the 18% VAT, hapo ukiongezea na hiyo ndo kabisaa tunaliua soko la utalii
Anhaa poa poa mkuuili kusaidia shirika liweze kujiendesha kwa faida.
Kenya wenzetu wanafanyaje? mtuelimishe ili twende kulisemea sehemu husika