Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,185
- 18,513
Hili jambo media hazisemi Ila limeacha majonzi na vilio.
Nimepita nyumba moja nzuri na kubwa ambayo IPO zinapoishia m 121.5 , yaani nyumba hii ndio IPO ukingoni, mwenye nyymba ni mama mjane, na kabla ya tangazo aliikarabati vizuri sana.
imepigwa X, wenyeji wanasema huyu mama alizimia mpaka sana ni kama mgonjwa.
Kuna Mama mwingine kibamba aliuuza maeneo yake yote akabaki na kiwanja karibu na Barabara, nyumba zote zimepigwa X naye hajitambui.
Siku ya bomoa bomoa kutahitajika ambulance za kutosha au watu wahame kabla ya bokoa bomoa maana sijui wangapi watakua radhi kuona najumba yao yakibomolewa kwa sheria ya mwaka 1932.
Kibaya zaidi hata hiyo kesi iliyopelekwa mahakamani na zuio lake sijui kama INA mashiko ..
Kupatwa kwa Watanzania kwa manufaa ya watanzania.