ULIKUWA AU UNAJISIKIAJE?

kethika

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
630
472
MSIMAMIZI WA MTIHANI ANAPOSIMAMA NYUMA YAKO WAKATI MNAFANYA MTIHANI HALAFU ANASEMA, JAMANI SOMENI MASWALI KWA MAKINI?
 
MSIMAMIZI WA MTIHANI ANAPOSIMAMA NYUMA YAKO WAKATI MNAFANYA MTIHANI HALAFU ANASEMA, JAMANI SOMENI MASWALI KWA MAKINI?

Unasoma na kujaza mtihani.......shida ipo wapi.......?.....
 
Hahaaaaaaaaaah niliwahi kuwa tight enzi hizo darasa la tatu nikataka kupiga chabo kwa jirani, swali lilikuwa ni kutaja mkoa unaoongoza wa kilimo cha migomba, nikapiga chabo kwa jirani ( alikuwa ni msichana) mwenyewe anafucha ficha majibu akawa amenibu kuwa mkoa unaoongoza kwa kilimo cha migomba ni NYUMBANI a see niliposoma nilicheka hadi msimamizi akanitoa nje
 
Back
Top Bottom