Mwisho wa kulipia kodi ya majengo na ardhi ni lini?

johnlowasa

Senior Member
Sep 29, 2016
121
76
Hivi wandugu kodi anayozungumzia Mh. Lukuvi ni ipi ni ya Majengo au Ardhi kwa maana tarehe ndio zimeshafikia mwisho msaada wa kujua ni ipi kati ya hizo mbili mheshimiwa alisisitiza tulipe na mwisho ni tarehe 30 mwezi huu wa 5.
 
IMG-20170526-WA0001.jpg
 
Ndugu John, hapa kuna aina mbili ya kodi sizikuchanganye.mh waziri Lukuvi anazungumzia kodi ya ardhi hii kwa kumiliki ardhi na hii ya pango ni kwa wale wote waliokuwa na jengo au nyumba. Kodi ya ardhi wanakusanya wizara ya ardhi na ya jengo inakusanywa na TRA kwa baadhi ya mikoa na mikoa mingine chini ya halmashauri.
 
Back
Top Bottom