Walaji wa chips mitaani!!

Job K

JF-Expert Member
Oct 4, 2010
9,314
7,149
Walaji wa chips mitaani kazi mnayo! Kwa hiki nilichokiona kwa kweli ni kazi kweli kweli, kumbe hawa vijana wakimaliza kuuza chips wanaoshea viatu kwenye vyombo vya kupikia chips? Wauza chips na nyie hebu kuweni waungwana basi!
 
Hhahahahhh..!! I can't imagine., Wapi huko..?? Kwa mtogole ama??

Mhh.,, Mtaani kuna mengi, unaeza ukamlisha hata Nnya mwenzio., We hataa hujali kbsa... (( " Kwani ananiona??"))

Ndo mana watu cku izi wanapata hadi minyoo ya Ng'ombe, Nguruwe.,,!!, wengne wanakunywa mafuta
 
Walaji wa chips mitaani kazi mnayo! Kwa hiki nilichokiona kwa kweli ni kazi kweli kweli, kumbe hawa vijana wakimaliza kuuza chips wanaoshea viatu kwenye vyombo vya kupikia chips? Wauza chips na nyie hebu kuweni waungwana basi!
chips 2.jpg
chips 3.jpg
chips 4.jpg
chips 5.JPG
chips 6.jpg
chips 7.jpg
chips 8.jpg
chips 9.jpg
chips 11.jpg
chips.jpg
chipsi-mayai.jpg
 
Ndo maana baadhi ya wanaojali afya zao na wana nafasi ya kufanya hivyo hubeba vyakula vyao toka nyumbani. Kwanza mafuta yalounguzwa ni sumu. Jiulize chips zinarudishwa mara ngapi kwenye mafuta hayo? Kama tu nyumbani hatuwezi mwaga mafuta baada ya kuchoma chips/maandazi, vipi kwa wafanyabiashara? Yaani kile tuwezacho fanya kwa ajili ya afya zetu tufanye maana afya zetu ziko hatarini
 
Back
Top Bottom