Calculator ya Tume VS Calculator ya Acacia

Mchizi

JF-Expert Member
Apr 23, 2009
2,823
6,808
Tume ya mchanga imetumia mobile phone calculator na Acacia wametumia casio scientific calculator.Haya ndiyo majibu yao

upload_2017-5-27_12-27-19.png
upload_2017-5-27_12-27-19.png
 
Hatuwezi kutetea wezi wa madini Hata mkibeza wajumbe wa Tume ya Rais wale maprofesa kwa namba yoyote ile Rais Magufuli anajua anachokufanya na hawezi kutingishwa na wapambe wa wezi au wezi wenyewe.

Na viongozi wote Pamoja wengine walioshiriki ktk udhalimu huo wa wizi wa madini rungu la dola lazima liwaangukie na kuwasagasaga kabisa hakuna huruma ktk vita hii.

Na hapa ndipo utakapoonja joto ya jiwe kwa yule ambaye alikuwa hajui kama Kuna siku atalala lockup au atafungwa kabisa Muulize Mzee Kitillya Kamishina mstaafu wa TRA au Waziri Mramba
 
mjinga we unatetea majizi hayo nenda zako
Wala siyo majizi serikali iliyopo pita na iliyopo xaxa pamoja na viongoz wake ndiyo waliingia mikataba mibovu ya kihuni xaxa mnawakaumu wawekezaji wakati mliwafuata na kuwa bembeleza waje wawekeze unadhani sheria zilivyokuwa mbovu hapa Tanzania ndivyo zilivyo nchi zote ? Au huwa unashangilia ma ccm yanavyokuwa yanapitisha miswada muhim mbali mbali kwa wingi wa ndiyo xaxa haya ndiyo matokeo bora ya ndiyo na niushindi kwa vyama vya upinzani kwa Yale yoote huwa wanatetea maslahi bora ya wananchi wa taifa hili lakini Leo hii rais anawafukuza mawaziri na wafanya kazi wengine kwa sifa na kiburi badala ya kupitia upya mikataba yoote iliyotiwa sain kabla yake hiv nikuulize swali mikataba ilivyokuwa inapitishwa bungeni magufuli alikuwa amelala au alikuwa kwenye mabarabara yake anayoyajenga kila siku ? Tumia akili hapa wakulaumiwa ni chama cha ndiyo kwan ndicho hupitisha mikataba ya kimafia ya wiz kama huu
 
Hatuwezi kutetea wezi wa madini Hata mkibeza wajumbe wa Tume ya Rais wale maprofesa kwa namba yoyote ile Rais Magufuli anajua anachokufanya na hawezi kutingishwa na wapambe wa wezi au wezi wenyewe.

Na viongozi wote Pamoja wengine walioshiriki ktk udhalimu huo wa wizi wa madini rungu la dola lazima liwaangukie na kuwasagasaga kabisa hakuna huruma ktk vita hii.

Na hapa ndipo utakapoonja joto ya jiwe kwa yule ambaye alikuwa hajui kama Kuna siku atalala lockup au atafungwa kabisa Muulize Mzee Kitillya Kamishina mstaafu wa TRA au Waziri Mramba
Ufunge watu kwa data za kupika? Mungu anakuona. Utachuma dhambi mbaya sana. Ili kuwafunga hao, tuthibitishe kama walikuwa wanahongwa, tofauti na hapo ni kuwaonea. Kama ni kwa uzembe, huwezi funga mtu. Mbona madaktari wanaua watu wengi kwa uzembe lakini hakuna aliyefungwa. Tusahau ya nyuma tusonge mbele, tuone kama hayo mapesa tutayapa au ni porojo tu.
 
Mwambie Polepole athibitishe kauli yake hii kwanza: “Kuna watu walitaka kumhonga rais bilioni 300 ili kusitisha uchunguzi. Walitaka kuhonga bilioni 300 kwa ajili ya kusitisha uchunguzi huo, hivi wao wanapata fedha kiasi gani? Lakini rais akawatolea nje, akasema subirini uchunguzi ukamilike. Tusiamame naye na hakika tutashinda na historia itaandikwa kwamba tulisimama katika kulinda urithi wetu,”
 
Hatuwezi kutetea wezi wa madini Hata mkibeza wajumbe wa Tume ya Rais wale maprofesa kwa namba yoyote ile Rais Magufuli anajua anachokufanya na hawezi kutingishwa na wapambe wa wezi au wezi wenyewe.

Na viongozi wote Pamoja wengine walioshiriki ktk udhalimu huo wa wizi wa madini rungu la dola lazima liwaangukie na kuwasagasaga kabisa hakuna huruma ktk vita hii.

Na hapa ndipo utakapoonja joto ya jiwe kwa yule ambaye alikuwa hajui kama Kuna siku atalala lockup au atafungwa kabisa Muulize Mzee Kitillya Kamishina mstaafu wa TRA au Waziri Mramba
Shule kubwa ipo kwenye hili neno "HATA"
Dira ya usahihi wa kujua sahihi ipo humo.
 
Back
Top Bottom