TL. Marandu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 3,625
- 5,810
Kwa hicho Kichwa cha Habari Nisiseme mengi, Nisije Nikajiamshia Dude chonde chonde! Ila mimi kwa hesima na Taadhima sana nilitaka kwa hisani yake! Ikimpendeza, akiona sawa aangalie kama kuna Uwezekano wa Kuona Kumsifia na Kumfagilia Ba Bashite huku anayeyuka na Litaulo la Bashite haisaidii. Baba hawezi kukupenda ikiwa Una Beef na Mwanaye Kipenziiiii aliyemwadopt kuwa Stooge wake Never! Hata Mungu tu (Kwa mujibu wetu Wakristo) Ukimkataa Yesu hata Ungesali mpaka ulie machozi ya damu umeshabugi! Sasa Unamtwanga Bashite kiasi cha kuagiza mananilii yaende kwake halafu unamfagilia Ba Bashite si atakusanifu tu? Mi ni maoni yangu lakini please sitaki dude liamshwe nia yangu ni njema!
Kwa Nusa nusa na kusikiliza Kauli za Ba Bashite, Naweza kuwa Wrong ila nahisi Ba Bashite anabeef kubwa na, " Dude Lisiloamushika" Mfano zaidi ni Ba Bashite aliposema hivi!
Unaweza Ukasoma dharau na chuki ikitoka na kusambaa chumba Kizima na Kusomeka Usoni. Sijawahi kumwona Ba Bashite Kakunja Ndita vile na kupaza sauti iliyochanganyika hisia za ajabu sana. Jamani chonde chonde mimi hayo ni mawazo yangu siombi Dude liamke.