Fraudster Alert

jichola3

Member
Dec 24, 2013
25
4
Wakuu, chukueni tahadhari na mtu anayejitambulisha kama Mr. William Mbeya kwenye masuala ya ajira yani "job adverts". Anajifanya kama HR wa BancABC na ana-post kazi kwenye tovuti kama ZoomTanzania nk. Anatumia email hizi: williammbeya45@yahoo.com na hrbancabc@gmail.com

Mshenzi mwingine anaitwa Samuel Millinga na kazi zake ni kuuza vifaa vya simu. Anawatapeli watu wamtumie hela kwenye simu ahlafu hakutumii mzigo. Namba zake ni 0688 111 185, 0759 111 185 na 0655 191 182. Nilipewa namba yake na watu wa Halotel akanizika.
 
Back
Top Bottom