Tabiri Vichwa vya Magazeti ya Kesho 29/05/2017

Tabiri Vichwa vya Magazeti ya Kesho 29/05/2017

Ni juzi kuna Member mmoja humu aliandika juu ya kimsifia Sirro na kusema anao uwezo wa kutatua mzozo wa kibiti siku hazijapita kawa IGP.
 
Tanzania Daima: Vyeti feki vyamng'oa IGP Mangu

Uhuru: Mangu kupangiwa Kazi nyingine

Habari Leo: Mangu amshukuru JPM

Mwananchi: Kibiti yamponza IGP Mangu

Nipashe: Mangu atumbuliwa
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Jamhuri: Sababu zikizomung'oa IGP Mangu zabainika
 
Back
Top Bottom