malikafif84
Member
- Feb 6, 2013
- 39
- 31
Serikali imetangaza ofa ya siku 3 kuanzia June 2 hadi June 4, 2017 Watanzania wataingia bure kwenye mbuga za wanyama nchini kote.
Ofa yenyewe haina raha kwanza ni mwezi wa Ramadhan, pili siku ni chache kabla hujafika mbugani ofa itakuwa imeishakama ni kweli basi tunaonekana ni malimbukeni, mie nilidhani siku zote
hawa jamaa kwa masoko ni ovyo kabisaOfa yenyewe haina raha kwanza ni mwezi wa Ramadhan, pili siku ni chache kabla hujafika mbugani ofa itakuwa imeisha, ni kama kifurushi cha Tigo