Utachelewa mafanikio kama siyo msomaji wa vitabu

Mapensho star

JF-Expert Member
Jun 30, 2016
3,052
4,101
pengine hii ikawa siri kubwa zaidi ambayo matajiri huwa hawaisemi zaidi huwa wanasema ushuhuda tu ilikuwa vipi mpaka wakafanikiwa lakini ukweli kuna elimu kubwa ndani.ya vitabu vilivyoandikwa na wanaphilosoph mbalimbali
maisha ni kama hesabu kuna njia zake ndo mana kuna watu wanatumia formula sababu katika kila hesabu unayofanya tayari kuna watu walishafanya nakujua ugumu wake ni nini na njia zake ndivyo yalivyomaisha usipokuwa mtu wakusoma vitabu basi kila siku utakuwa mtu wakukosea sababu kila unachofanya wewe haukijui hivyo utakuwa ukichelewa sababu haupitii vitabu ujue wenzako waliproof nini kwenye hill ambalo kila siku unashindwa kwa Leo niwaache na hili

*
Jifunze kutokana na makosa uliyofanya .
Inawezekana kuna mahali utakuwa umekosea kwa namna moja au nyingine,badala ya kulaumu na kuumia moyo sana jifunze kutokana na hayo makosa liyoafanya ili isije ikawa kwako rahisi kufanya makosa yaleyale kwa mara nyingine. Ikiwa utajifunza kutokana na makosa na kufanyia kazi kile ulichojifunza hapo utakuwa umechukua hatua moja muhimu ya kuweza kukusaidia kusonga mbele kuyafata mafanikio unayoyataka. Unataka mabadiliko makubwa katika maisha jifunze kutokana na makosa yako na acha sana kulaumu
 
Shida sio kusoma vitabu, sema au orodhesha vitabu hivyo ambavyo unahisi vinaweza kutusaidia, bila hivyo ni ukanjanja tu.
 
Back
Top Bottom