Evans-Arsenal
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 868
- 1,385
Mchungaji Gwajima wa kanisa la ufufuo na uzima, amesema ni bora pro Muhonho na wenzake wameondolewa mapema katika wizara ya noshati na madini ili watu wengine wenye uwezo waweze kuongoza wizara hiyo.
Ameeleza kwamba Tanzania kuna madini mengi sana na rasiliamali za kutosha sema kuna wapiga dili wachache wanaokula hela hizo na kuwataka watu wa Tanzania kupiga kazi na sio kumngojea Rais Magufuri aweze kuwasaidia.
"ni wakati wa kufanya kazi sio kila siku kuilalamilia serikali, kuna mito na maziwa watu wakalime na kuongeza kipato sio wakati wa kulala huu na kulaumu tu"