Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Wanajf nawatupia huu Uzi kama kutoa tahadhari kwa wale wanaopenda kutumia dawa kwa ajiri ya kuongeza nguvu.
Leo kuna KIJANA mmoja nimemuona KUPITIA EMMANUEL TV dushe lake lilishasimama Siku nyingi (permanent erection)bila kusinyaa. Kumbe dushe likisimama muda mrefu bila kulegea huleta kilio bila aibu maana Dogo alichanganyikiwa, baada ya kuombewa akapelekwa chooni baadaye akarudi na kukojolea hekaluni hadharani bila aibu.
NAWASHAURI KUPITIA HUMU MSITUMIE HIZO DAWA ZA KUONGEZA NGUVU BILA USHAURI WA DAKITARI ALIYESOMEA MAMBO HAYO.
Nawasalisha: