D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,193
- 3,325
Nashindwa kuelewa hiki ni kioo cha jamii forums au nini?
Nimefanya uchunguzi blog hii hakuna HABARI hata moja waliyoandika wenyewe zaidi ya kucopy na kupest halafu bado wanajiita source ya HABARI.
Hahaha kinachosikitisha ni kuwa hakuna tangazo hata moja kwenye blog yao na sidhani kama kuna mjinga atakayeenda kutangaza kwenye blog isiyo na ubunifu zaidi ya kukopi na kupest.
Wakuu kwa kuwa wenye blog wengi wanapita humu Tafadhali ushauri wenu wa kuwapa ili waachane na tabia za kukopi na kupest kitu kinacholalamikiwa na wengi mfano The bold
Tiririkeni