Rais Magufuli akutana na mzee aliyetengeneza Nembo ya Taifa na mtoto anayekunywa Mafuta (MUHIMBILI)

Evans-Arsenal

JF-Expert Member
Jan 10, 2016
868
1,385
Rais John Pombe Magufuri leo amewatembelea wagonjwa mbalimbali katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kukutana pia na mtoto anayekunywa mafuta na mzee aliyetengeneza Nembo ya Taifa ambao wote kwa Pamoja Afya zao zinaendelea vizuri kwa sasa.

8fe3cc5b2e20034d5ab3b7ec2edc7aa7.jpg
 
Hivi hayo magari wakiuza moja moja tunajenga shule ngapi au tunanunua madawati ya shule ngapi??

Nini maana ya kubana matumizi??
 
Rais John Pombe Magufuri leo amewatembelea wagonjwa mbalimbali katika hospitali ya Taifa Muhimbili na kukutana pia na mtoto anayekunywa mafuta na mzee aliyetengeneza Nembo ya Taifa ambao wote kwa Pamoja Afya zao zinaendelea vizuri kwa sasa.

8fe3cc5b2e20034d5ab3b7ec2edc7aa7.jpg

Lini atasafiri pia kwenda kuwatembelea na wale Wanafunzi waliojeruhiwa na ile Ajali ya Laki Visenti huko kwa Trump?
 
Ana tabia ya kurudia rudia ziara sehemu iliyompa umaarufu. No wonder atarudi tena hapo kama bandarini and soon PM nae ataenda.
 
Back
Top Bottom