SAUTI YAKO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 2,944
- 2,032
Nafurahi sana ukifika pale hata kama unavuja damu muda huu utasitizwa kwanza nenda ukakate tembo card utafikiri umeenda kufungua akaunti ya crdb ambayo inabidi uwe na elfu 12 na mia 5 ,cha ajabu utaratibu huo sio kama unapomaliza kukata hiyo tembo card utaelekea moja kwa moja kwa dokta ni hiyo card hapana itabidi tena Sasa uelekee kwa muuguzi akujazie kadi ndio uende kwa dokta huku ni kupoteza muda maana huyo anayejaza kadi ingekuwa shida ni kukusanya mapato angekusanya hela na mashine ingewekwa karibu yake ya kutolea risiti.wapo wengi wanajiuliza swali hili maana hiyo tembo card ukiwa pale hospital hauwezi lipia kwenye dirisha LA dawa Bali unatoa hela mfukoni na unapewa risiti ya tra.wenye kuelewa tembo kadi pale INA maana gani naomba mtusaidie maana kuuliza sio ujinga.