Mineral royalty rates

Chiwaso

JF-Expert Member
Oct 21, 2009
5,726
3,762
Kwa wanaonielewa, hivi mineral royalty rate ni ngapi kwa sasa duniani?
Ila kwa kumbukumbu zilizoziona, ni kati ya 2.5% na 5% inategemeana na kiwango cha Gold kwenye mchanga.
Sasa kwa kupewa 4% sijui kama tulikuwa tunadhurumiwa.
Kimsingi, mapambano yetu yangehusika sana kwenye Mineral royalty rates.

Ni mawazo yangu tu.

Soma hapa:
Mineral royalty rates | Business Queensland
 

Attachments

  • prescribed-and-specified-minerals---royalty-calculations-from-1-january-2016.pdf
    752.6 KB · Views: 21
Back
Top Bottom