ZE NDINDINDI
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 1,885
- 4,012
Kuanzia juzi habari zinavuma kwamba lile gwiji la mitandao barani Africa Will Bill Malecela ndilo chaguo la Mkuu kuchukua nafasi ya ukuu wa mkoa pale kilimanjaro
Basi bwana unaaambiwa kuna watu wamenuna wanajaribu kupiga majungu asiipate nafasi hiyo
wakati jamaa ni zaidi ya Kujua kusoma na kuandika(KKK)jamaa anazo degree tatu ikiwepo ya mambo ya uhalifu
Go William Bill Le Mutuz sauti ya umeme,only God knows hata ungekuwa under 30 hii list ya juzi ya Forbes magazine ya kina Jokate lazima ungekuwepo maana you are a billionaire in the making.