Nipo mbioni kufungua SACOSS, Japo wengi wananikatisha tamaa lakini nitafika

Makau Js

Member
May 25, 2017
93
233
Nipo mbioni Kufungu saccos ambayo itawezesha kukopa pesa kwa vijana na kutoa ushauri kuhuhusu biashara ili kujikomboa

Changamoto ni nyingi sana mtaani hususani kwa vijana wasomi wakisubilia ajira wapo mtaani wanashinda vijiweni....

Kukosa mitaji ya kujiajiri wenyewe naomba mungu aniwezeshe kwa hili nia yangu na malengo yangu niweze kufanikisha ndoto hii wapo wengi wananikatisha tamaa lakini bado mungu yunami nasonga mbele....
 
Changamoto ni nyingi sana mtaani hususani kwa vijana wasomi wakisubilia ajira wapo mtaani wanashinda vijiweni.... Kukosa mitaji ya kujiajiri wenyewe naomba mungu aniwezeshe kwa hili nia yangu na malengo yangu niweze kufanikisha ndoto hii wapo wengi wananikatisha tamaa lakini bado mungu yunami nasonga mbele....
Hujui hata unachofikiria
 
Nipo mbioni Kufungu saccos ambayo itawezesha kukopa pesa kwa vijana na kutoa ushauri kuhuhusu biashara ili kujikomboa

Changamoto ni nyingi sana mtaani hususani kwa vijana wasomi wakisubilia ajira wapo mtaani wanashinda vijiweni....

Kukosa mitaji ya kujiajiri wenyewe naomba mungu aniwezeshe kwa hili nia yangu na malengo yangu niweze kufanikisha ndoto hii wapo wengi wananikatisha tamaa lakini bado mungu yunami nasonga mbele....
Ukitaka ushauri nenda kamuone Mkubwa Mbowe atakusaidia.
 
Wazo kama langu mkuu sijui ulikuwepo ninavowaza?

ila hongera kaza ufanikishe malengo yako
Watumie hao wanaokukatisha tamaa kama motivators wako
 
Nipo mbioni Kufungu saccos ambayo itawezesha kukopa pesa kwa vijana na kutoa ushauri kuhuhusu biashara ili kujikomboa

Changamoto ni nyingi sana mtaani hususani kwa vijana wasomi wakisubilia ajira wapo mtaani wanashinda vijiweni....

Kukosa mitaji ya kujiajiri wenyewe naomba mungu aniwezeshe kwa hili nia yangu na malengo yangu niweze kufanikisha ndoto hii wapo wengi wananikatisha tamaa lakini bado mungu yunami nasonga mbele....
Mkuu kwanza nikupe hongera nyingi kwa kuwa na fikra kama hizo.
Najua kuwa mikopo midogomidogo inasadia sana watu. Lakini sina uhakika kama unaelewa maana ya SACCOS.
SACCOS haianzishwi na wala si mali ya mtu mmoja. Hii ni chama cha Ushirika cha KUWEKA na KUKOPA. Chama hakianzishwi na mtu mmoja, ni mkutano mkuu.
Kuna hatua kama 10 hivi za kufuata mpaka kuanzisha SACCOS.
Labda muanze na SILC then VICOBA, ndipo iwe SACCOS, la sivyo anzisha kijikampuni binafsi cha kukopesha watu, ambacho utakuwa na control yoote.
 
Nipo mbioni Kufungu saccos ambayo itawezesha kukopa pesa kwa vijana na kutoa ushauri kuhuhusu biashara ili kujikomboa

Changamoto ni nyingi sana mtaani hususani kwa vijana wasomi wakisubilia ajira wapo mtaani wanashinda vijiweni....

Kukosa mitaji ya kujiajiri wenyewe naomba mungu aniwezeshe kwa hili nia yangu na malengo yangu niweze kufanikisha ndoto hii wapo wengi wananikatisha tamaa lakini bado mungu yunami nasonga mbele....
Kwanza mkuu nikupongeze kuwa na wazo zuri umeonesha msingi mzur sana katika jamii yetu ni watu wachache sana wenye mawazo chanya ambayo kimsingi ni yamesek win win situation! if there any challenges we are here to suport u since failure is not an option!
 
Back
Top Bottom