Zanzibar-Nyamwezi
JF-Expert Member
- Jun 11, 2013
- 1,244
- 765
Mitaani mjini Zanzibar wanapita maafsa (walovimbiwa bado mlo wa asubuhi mapema)karibu na nyumba za Wakristo/Wabara kuona au kunusa kama kuna mapishi yanafanyika, wanazidisha sasa kwani mtu atazuia vipi na harufu isitoke pamoja na kufunga milango na madirisha? Ukikamatwa kifungo ni ya moja kwa moja hadi ramadhani ya mwaka ujawo, kwa mujibu ya maelezo yao. Lakini pia ni kipindi cha kutafutiwa 18 hasa kwa tunobaguliwa asili ya Bara, tuepuke mitego yote.