Kuna tetesi kuwa CCM ina percent fulani kwenye mikataba ya madini! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuna tetesi kuwa CCM ina percent fulani kwenye mikataba ya madini!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by nditolo, Jul 19, 2011.

 1. nditolo

  nditolo JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 1,335
  Likes Received: 300
  Trophy Points: 180
  Katika mazingira ya kushangaza imekuwa ni vigumu kuona viongozi waCCM wakitaka migodi yetu na rasilimali zetu zikitumika kukuza na kuleta maendeleo kwa nchi yetu, badala yake tumekuwa tukisikia viongozi wa upinzani tu wakitaka mikataba tata ya madini na aridhi inayoendelea kuua wananchi wazawa wa maeneo husika ifanywe upya ili iwe na tija kwa watanzania. Sasa katika hili kwakuwa wao CCM wanaulaji kichama hawataki kusikia migodi ikinufaisha uma, ila wamekuwa ni wepesi wa kutoa lawama kuwa upinzani kuwa unawagombanisha na wawekezaji. Je hii wanajamii imekaaje? Chama kupora mali ya uma kwa manufaa yao? je uma ukijua hili itakuwaje? Naunga mkono wazanzibar kuwa mafuta yasiwe ya muungano yawe ya wazanzibari wenyewe labda wenzetu watafaidi chao.
   
 2. SHERRIF ARPAIO

  SHERRIF ARPAIO JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2011
  Joined: Aug 25, 2010
  Messages: 7,081
  Likes Received: 1,818
  Trophy Points: 280
  Ni kweli kabisa.
  Ndio maana mkuu wa nchi hataki kusikia kabisa marekebisho ya mikataba feki ya madini. Anakuwa mkali kabisa ingawa aliahidi kuifanyia kazi hiyo mikataba toka 2004 wakati wa kampeni zake
   
 3. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  kuna tetesi ya magamba kuwa na percent katika biashara ya mafuta hapa nchini ndio maana TPDC mpaka leo hawajaanza kuagiza mafuta licha ya sheria kurekebishwa
   
 4. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Si tuwapindue
   
 5. SILENT ACtOR

  SILENT ACtOR JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 618
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Haya unenayo, kwa hali tuliyomo, si ya kubeza. Make hata nikifikiri kwa kina namna gani, sipati picha tumefikaje hapa. Sidhani kama ni suala la uzembe tuuu. Lazima kuna mkono wa mtu; and time will tell (make intelijensia hatuna nchi hii).
   
 6. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #6
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 473
  Trophy Points: 180
  Askofu Kokobe alimwambia Ngeleja kuwa mungu ndiyo kaleta umeme si mwanadamu, na kwa kuwa sula la umeme limesababisha kuharibiwa kwa hekalu la mungu basi wahusika watalias na kusaga meno.Na leo tunashuhudia Ngeleja &co kikaangoni.Hata mikataba ya CCM kwenye madini ipo siku itajulikana.
   
 7. papason

  papason JF-Expert Member

  #7
  Jul 20, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 2,317
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Kila linapokuja suala la mikata waTZ tunapigwa changa la macho, hivi huko kwenye hiyo serekali ya magamba hakuna wanasheria ambao ni competent ktk masuala ya mikataba?
   
 8. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #8
  Jul 20, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,525
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Kakobe alisema umeme hautapita. Na Kweli haupiti teh teh teh.
   
 9. Zawadi B Lupelo

  Zawadi B Lupelo JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2017
  Joined: Jul 19, 2015
  Messages: 1,865
  Likes Received: 2,263
  Trophy Points: 280
  Sijui huenda mnachoongea ni kweli
   
 10. Mack Wild

  Mack Wild JF-Expert Member

  #10
  May 30, 2017
  Joined: Apr 25, 2013
  Messages: 4,316
  Likes Received: 2,744
  Trophy Points: 280
  mkuu unamaono sana magamba wamegeukana huku
   
Loading...