MZALENDOWAKWELIKWELI
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 330
- 210
Ni Tanzania pekee wananchi hulipishwa ushuru wa huduma bila kuwako kwa huduma husika. Ni Tanzania pekee waweza lipishwa ushuru wa parking eneo lisililo na miundombinu ya parking....Miundombinu ya huduma za kijamii kijamii kama ulinzi, vyoo, sehemu za abiria kupumzika katika stand kuu hii haipo....sababu wanazijua wahusika....hoja yangu ni je USHURU UNALIPWA KWA LIPI?
Ushuru huu ni mali ya serikali au mtu binafsi? Kwamba ni wa Serikali sidhani nijuavyo shuru zote za serikali zinakatiwa Risiti za EFD kulikoni ushuru huu fake wa Stand ya UBUNGO?
Nijuavyo Stand hii ipo ndani utawala wa Ukawa. Je ndo mabadiliko haya mliyotuahidi? Je na hili nalo limewashinda kama lilivyowashinda la ushuru wa parking unaotozwa sh. 500 badala ya 300 enzi za CCM?