Mzingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2014
- 4,722
- 10,475
aisee kuna wananchi hutoa report zao za usomaji wa vitabu,zinaogofya. Mfano baba Ummy ambaye mwaka huu kasoma 53 ambapo ni kama kitabu kimoja kwa kila wiki na chenji inabaki(mwaka una wiki 52).
wanawezaje wezaje kupanga ratiba zao,maana wengine kwa haraka haraka ni kama wako na ratiba ngumu sana wa mambo mengine ka utafutaji na kadhalika.
MBAYA ZAIDI UNAKUTA UKIWASIKILIZA UNAKUTA 'VIINGEREZA' VYAO NI VYA KAWAIDA KABISA. Ninajikuta ninaguna kimya kimya.
mnaosomaga vitabu njooni mjitetee.