Ripoti ya vyeti feki sehemu ya pili inatoka lini?

mtafiti05

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
956
593
Mwezi sasa umepita tangu report ya kwanza ya watumishi wenye vyeti fake ktolewa, watu wamelia, wamehuzunika na watu wengine wakifurahi maana kufa kufaana!

Waliofurahi ni ambao hawana ajira na wanahisi ndo muda mwafaka kupata gap maana wana sifa stahiki lakn pia nao hawajanufaika na chochote maana namba bado inasomeka!

Ili kumaliza vilio hivi tunasubir report ya 2 ili wakulia walie na wazoee ili kupunguza vilio vya kila Mara! Wahusika tunahtaji hyo report ya pili,

Au mnasubiri mpaka mwaka mpya fedha uanze mpo kimya na msiongeze mshahara kisa bado hamjatoa report ya pili vyeti fake? Maana mmejtahd sana na zoezi la UHAKIKI kumaliza mwaka mzma bila kuajiri, nyongeza mshahara na uhamisho, sasa tunahtaji hatma ya vyeti fake!

Note, Kama mnavuta muda mseme, mpo serious toeni report ya pili ili watumishi wahame, wapande madaraja na vijana wasio na ajira wapate ajira, acheni blaah blaah na kutunza vilio vyetu wenye vyeti fake part 2!
 
June hii hapa lakn kimya, mnasubr July mpitishe tena kimya kimya?
 
Subiri tuone kama bajeti ya mishahara inatosha..
Kama haitoshi tutatoa soon na kama bado haitoshi tutaendelea kutafuta kila aina ya sababu watumishi mpungue...hatuna hela za mishahara kueni makini.
Yakitufika kooni hata ukichelewa kazini tu utafukuzwa kazi.
 
Walikwambia wakiitoa ndio watawapandisha daraja? Isije ukawa unasubiri meli airport...
 
Back
Top Bottom