mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,500
- 4,026
Moja ya mtandao ulioanza na network ya 4G,lakini kwenye suala la vifurushi umekuwa mtandao usijari wateja wake,mlikuwa na University offers nzuri sana hapo mwanzo lakini kwa sasa mmebana vifurushi vya hizo offers,watu wanakambia sasa hivi ikiongezwa na ushindani wa mitandao ya simu na offer zilizopo,,,,jitahidini kurudisha huduma kama mwanzo watu wamehifadhi line zenu mpaka hapo mtakapojirekebisha,oneni TTCL,Vodacom,Halotel na Airtel walivyo na university offer nzuri...Msikilize wateja wenu ili kuendana na ushindani.