akohi
JF-Expert Member
- Jul 13, 2012
- 788
- 526
Hii ni muhimu sana hasa kwa zama hizi za risit ya EFD maana kwa sisi wa Dar utajikuta umenyanganywa leseni yako sababu ya makosa kama haya.
Lakin pia inasaidia sana kwa wale tunaosafir miendo mirefu.
Mi natumia Radars France – Applications Android sur Google Play
Unachofanya ni kudownload hiyo app kwenye simu yako ya android
Inauwezo wa kukuonyesha Camera zilipo, so unachotakiwa kufanya ni ku iset tu ili i scan njia nzima halafu ndo uanze safari, na unapokalibia kuifikia Camera, basi hiyo app inatoa mlio wa kukutahadharisha na inaanza kupiga kelele ikiwa umbali wa zaidi ya mita 350 toka ulipo mpaka kwenye camera.
Na siku hizi unapowaona Traffic basi ujue camera haipo hapo, ni either baada ya eneo au kabla ya walipo wao.
Asante na niwatakie safari njema.