NBS: Mfumuko wa bei umepungua nchini

Mimi nadhani ni kwa7babu watu wa kolomije wamebana mzunguko wa pesa ndio maana bidhaa zinashuka bei pesa hakuna!!
 
Watu was takwimu akili zao haziko Sawa...sukari kutoka sh 2400 mpaka sh 3000 nako mfumko umeshuka?
 
Back
Top Bottom