Makampuni ya wrong parking yapigwe marufuku, yanachochea rushwa

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,667
30,584
MH WAZIRI HUSIKA .PENGINE TU HUJUI KINACHENDELEA KWENYE BIASHARA YA HIZI KAMPUN MTAANI

NIONACHO AIJALISHI MMEINGIA NAO MKATABA WANACHOFANYA N KUHALALISHA RUSHWA RUSHWA BARABARANI...

NA WENGINE AWANA HAYA UKISEMA AUNA HAMSINI WANAKWAMBIA UNA NGAPI NA RESIT ATUTOI....

NAOMNA NISEME WAZI KAMA TRAFFIC WAMEONGEZA MAPATO SANA KWA KUSIMAMIA WENYEWE WALE WANAOAIWA WAKISHIRIKIANA NA VINGAMUZI..TENA WANATUCUANGIA SANA KODI SIFA ZIWAENDEE..KUNA HAJA GANI MSIAJIRI WAFANYAKAZI WA MANISPAA WAGANYE HII KAZI...

KINACHOENDELEA NIKUAMINI KUNA KITU KINAENDELEA KIIKUBWA MAANA HATA WSTU WAKILALAMIKIA HAKUNA MSAADA

MAJUZI MDOGO WETU ANAWEKWA MASAA MATATU KISA ATAKI TOA 20 KUANZIA 50 YAO.,.UHUNI MTUPU

TUUNDE KITENGO MANISPAA KUSIMAMIA HAYA MAMBO JAMANI TUACHE KUTEGEMEA MAKAMPUNI AMBAYO YANWWJIRI WAHUNI WANASHINDWA HATA KUTOA SALAMU AMA KUMWELEZA MTU TATIZO ATI INGIA UTAENDA KUAMBIWA MBELE YA SAFARII....

MH RAISI HONGERA KWA KUONDOA RL LAKINI PIA MTUONDOLE HAWA MABWANA MNAPOTEZA MAPATO MENGI SANA HUKU MTAANI TUKIONESHWA RUSHWA SIO SHIDA TENA
 
hoja yako sijaelewa ila ninachokuunga mkono kuwa hawana weredi wa kazi,pia suala la rushwa liko sehemu zote hata huko manispaa na kinachotakiwa ni kuipiga vita rushwa,lipa na dai risiti.
kuwaajiri watu ina bidi kuaandaa scheme of service kwa kazi ambayo hatutarajii itakuwa ya kudumu na kuwalipa pensheni hapo seriklali waliona ni hasara ni bora kampuni zipewe kazi kukuza ajira pia walipe kodi
 
Jirani zetu Ethiopia serikali inajenga parking kwa ajili ya kupunguza usumbufu kama huu
Kwa muda wa miaka 10 watakuwa wamejenga car parking 60 mjini Addis
1407698a6add112bccd3fc86e6db4104.jpg
 
Kwa yanayofanywa na hawa mabwana inatupelekea tuamini Ni mradi wa watu fulani tu.wanakera sana
 
Back
Top Bottom