kiboboso JF-Expert Member Sep 17, 2013 9,313 12,561 Jun 10, 2017 #1 Msaada wakuu! nataka kujua waliochaguliwa kujiunga jkt kwa awamu ya pili iliyotoka Jana. Nimezunguka kwenye ma-web sites sijaambulia chochote.
Msaada wakuu! nataka kujua waliochaguliwa kujiunga jkt kwa awamu ya pili iliyotoka Jana. Nimezunguka kwenye ma-web sites sijaambulia chochote.
Joseverest JF-Expert Member Sep 25, 2013 52,470 70,590 Jun 10, 2017 #3 hata jf ni website pia hujaona??
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Jun 10, 2017 #4 Hilo hapo file Attachments MUJIBU17.pdf 1.2 MB · Views: 42
Mr.Junior JF-Expert Member Sep 8, 2013 11,956 10,322 Jun 10, 2017 #6 Daby said: Hilo hapo file Click to expand... Kasema waliochaguliwa awamu ya pili iliyotoka jana.
Daby JF-Expert Member Oct 26, 2014 33,647 75,837 Jun 10, 2017 #7 Mr.Junior said: Kasema waliochaguliwa awamu ya pili iliyotoka jana. Click to expand... Oouh..nikiyapata nitaweka
Mr.Junior said: Kasema waliochaguliwa awamu ya pili iliyotoka jana. Click to expand... Oouh..nikiyapata nitaweka