Wasifu wa Profesa Nyahongo wa Chuo Kikuu cha Dodoma

mkaamweusi

JF-Expert Member
Feb 19, 2013
618
824
Jamani huyu prof,naona amejitahidi kujenga attention kwenye media,ningepata kujua wasifu wake kwa undani,maana wale tembo walipo katiza UDOM miez miwili iliyo pita alitoa neno kama Mtaalamu wa maswala ya ecolojia,bajeti mpya imepitishwa ametoa neno kama profesa wa sayansi na uchumi,naomba kupata wasifu wake tafadhali.
 
Back
Top Bottom