Leo Rais Magufuli anatarajia kutueleza jinsi CCM na Serikali yake walivyofanikiwa kushirikiana na wezi na majambazi wa kigeni kutuibia rasilimali za nchi yetu.Anatarajia kutuambia tumeibiwa kwa...
Utotoni tulikuwa na kamchezo ka kuwinda vicheche.Vitendea kazi vilikuwa mbwa,rungu na vibuyu vya maji.Mara kwa mara zoezi hili tulikuwa tukilifanya pale kuku wetu walipokuwa wanashambuliwa na...
Mwanzo mlisema mwisho wa March, baadaye mkasema May, baadaye July. Yaani imekuwa ni mwendo wa kusogeza tarehe mbele!
Je, shida ni nini? Bomba bado halijamalizika au nini? Ajabu ni kwamba hata...
Waungwana naamini mko salaam,
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea kiufupi me napendelea sana kusikiliza radio zinazotangaza kwa kingereza
Nilikuwa napendelea sana BBC INTERNATIONAL ila siku...
Habari wakuu natumai juma pili ilikua tulivu kwenu. Turudi kwenye maada, kama tujuavyo katiba yetu hii tuliyoachiwa na mkoloni ilivyo na madudu hasa kwa kumpa nguvu kubwa raisi. Pia kumpa kinga ya...
Habar za muda huu wanajamvi,
Nmekuwa napitia mjadala wa je tutafika? Ya channel tajwa hapo juu ila hicho kipindi sizielewi mada zake.
Kwanza napenda anayeelewa mada za huyo mzee anayeongoza...
Kusameheana tulipokwazana ni jambo la kheri.duniani tunapita wapo wengi waliotangulia mbele za haki kabla yetu.Nawaombeni enyi waandishi wahabari.mjadilini jinsi ya kumsamehe na kuonyesha ukomavu...
Habali ndugu na jamaa? Usiku huu npo kakola kahama kuna tangazo lina tangazwa usiku huu likisema.
"tangazo tangazo kesho hakuna kufungua biasha yoyote watu ote msikilize report ya makinikia...
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa amemsimamisha kazi Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi.
Taarifa...
Nashauri chombo hiki cha kitaifa kigute makosa yake kwa kutuletea special coverage ya kupokelewa kwa ripoti ya kamati ya wachumi na wanasheria ambayo iitatuonesha ni kwa kiasi gani nchi imeibiwa...
Wanabodi,
Habarini za wikendi!.
Japo mimi ni Msukuma wa Mwanza, mara nyingi nipatapo nafasi ya wikendi ndefu, hupenda kutembelea sehemu fulani inaitwa KV iliyoko mkoani Kilimanjaro, kwa sababu...
Habari wakuu,
Nimatumaini yangu mu wazima,
Husika na kichwa cha habari hapo juu cha jieleza,
Mala nyingi wasomi wengi hasa hasa wale waliokuwa wakifanya vizuri darasani kuliko wengine, wengi wao...
Kuna watu wanahisi hawatazeeka,kutwa kubadilisha mabwana leo yupo na huyu kesho yule.tambueni,ukimwi upo,kifo kipo,na uzee huu hapa.kubadilisha mabwana na wanawake jua utanasa tu,hata uvae vipi kondom
C&P
Hi guys Africa is good and Tanzania is beautiful with all sorts of wildlife and natural wonders you may think of. Some not even advertised. I can’t say I know Tanzania that much as I have...
Samahani Sana wanajamii wenzangu ,hivi karibuni tumeona namna ambavyo raisi ameteua kamati mbili katika uchunguzi was mchanga was dhahabu maarufu kama makinikia na tayari kamati ya kwanza...
MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo, Majid Mwanga, amewapiga marufuku askari mgambo wilayani hapa wanaokamata pikipiki zinazobeba abiria, maarufu kama bodaboda na kuonya kuwa hiyo si kazi yao.
Mwanga...
Utata umeibuka baada ya askari wa Jeshi la Polisi wa Mirerani wilayani Simanjiro (Manyara) kudaiwa kuwafyatulia mabomu ya machozi na kuwajeruhi wachimbaji wadogo saba wakiwa ndani ya mgodi...
Leo nilipata muda wa kupumzisha mwili mahali fulani...lakini bahati mbaya mara zote sijawahi kufanikiwa kupumzisha akili....wakati nikiwa naangaza huku na huku kabla ya kupitiwa...
Shehe Mkuu wa Mkoa wa Kigoma amefariki dunia Jana saa mbili usiku nyumbani kwake Buzebazeba Ujiji Kigoma.
Kaimu Shehe wa Mkoa Alhaj Shehe Hassan Kiburwa amedhibitisha kutoka kwa kifo hicho...