Hali bado ni tete Zanzibar kuhusu utekaji na unyayasaji kwa raia

aleesha

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
623
1,000
Serikali ya Smz imekuwa mwiba kwa wananchi zidi ya vitendo vya utekaji na unyanyasaji unao tumiwa na vyombo vya Dola kwa Baraka zote za Raisi na makamo wake.

Hakuna shaka kuwa vyombo hivi vimepata baraka zote kutokana na vipngozi wa nchi kwavile haya hayakuanza leo na hatujawahi kumsikia Raisi hadharani kukemea na kunda tume ya kuchukungu hali hii inayo watia hofu wananchi kuishi kwa hofu na kuhujumiwa mali zao .

Ingawaje huko nyuma huambiwa na vigogo tuamini kuwa wenye kufanya hivyo ni wasu wasio julikana na hawamini kuwa vipe vitendo hivyo kwavile Jeshi la Polisi halijapokea malalamiko hayo au kesi hio.

Si kweli watu mara nyingi wanareport na unapo tokeza kuriport ndipo unapo bambikiziwa kesi ya kutengenezewa na ki nyemela na kuswekwa ndani au kufwatwa usiku kuja kuteswa.

Sasa tunaposema kuwa wananchi hatuna imani na vyombo vya Dola ni kwajili hii na wanaposema vyombo vya Dola hawapati ushirikiano na wananchi nikwa hivi.

Ni Serikali gani hii yenye kuteka raia dhake na kuwatesa?
 

Perfectz

JF-Expert Member
May 17, 2017
7,150
2,000
Pasipo kuwa makini na hali hii na ile ya kibiti pia,taifa halitaachwa salama kiusalama
 

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Nov 28, 2015
28,744
2,000
Wamechoka na amani, kama ushindi wamepora na wananchi wapo kimya sasa wanatafuta nini kama sio uvunjifu wa amani
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom