jogi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2010
- 25,556
- 25,334
1. Mawazo yetu si tu yameporwa bali pia hayathaminiwi!!
Haki yetu kikatiba ya kuwakilishana imekuwa haki yao kujiwakilisha.
2. kikundi kidooogo cha watu kwa madai ya ridhaa ya kutuwakilisha kinakengeuza utashi wetu na kuuweka wa kikundi hicho kupata uhalali wa kikatiba na kisheria!! inauma saana!!!!
3. Kikundi hiki kinatumia mwavuli walioutega wa kinga ya rais kushtakiwa wanauza mali zetu kupitia mihimili yetu kwa gharama ya kodi zetu tunazokamuliwa kisawasawa!!!
4. Tunawalipa mishahara, posho na marupurupu kibao wanaishia kutumia posho hizo kutukejeli kwa kupongezana kwa kazi wanayoiona kuwa ni murua ya kutuibia, kutunyamazisha, kutudharau, kutunyanyasa!!!!
Naendelea kujiuliza.